Tanzania MpyA+

“Sisi sote Tunajenga Nyumba Moja Bila Kujali Itikadi” – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa Wilaya ya Rombo kufanya kazi kwa kushirikiana. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Wilaya hiyo. ” Sisi sote tunajenga nyumba moja bila kujali itikadi”. Aidha amewatahadharisha Viongozi hao kuacha tabia …

Soma zaidi »

Kalemani: Vituo vya kupooza na kusambaza Umeme vifanyiwe ukaguzi kila siku

Mameneja wote wanaosimamia vituo vya kupoza na kusambaza umeme nchini wametakiwa kufanya ukaguzi ( checkup) wa kila siku asubuhi katika mitambo na mashine zilizopo katika vituo hivyo kuondoa adha ya kukatika umeme kutokana na hitilafu au uharibifu katika vituo hivyo. Licha ya kuwa vituo hivyo vinafanyiwa ukarabati na ukaguzi wa …

Soma zaidi »