RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA MASUALA YA ELIMU AFRIKA (FEF2018).

RAIS MSTAAFU KIKWETE
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu
PICHA YA PAMOJA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu
RAIS MSTAAFU KATIKA MAHOJIANO
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akifanyiwa mahojiano na shirika la habari la CNN mara baada ya kumaliza kushiriki katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu

SISI NI TANZANIA MPYA - 92

PICHA YA MKUTANO
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa pili kulia, akiwa na wajumbe wengine katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu 

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *