NEMC

“VITA ZA SILAHA ZAPUNGUA, SASA NI VITA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIANCHI” – ENG. CYPRIAN LUHEMEJA

Katika hotuba yake ya kugusa moyo kwenye Maonyesho ya Sabasaba 2025, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ametahadharisha kuwa dunia imeingia kwenye sura mpya ya mapambano – si tena kwa kutumia silaha, bali dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Amesema janga hili linagusa kila …

Soma zaidi »

ENG. CYPRIAN LUHEMEJA AFURAHISHWA NA HAMASA YA MAZINGIRA SABASABA 2025

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ameonesha kufurahishwa na namna taasisi mbalimbali zimeipa kipaumbele ajenda ya mazingira katika Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Akiwa katika ziara ya kutembelea mabanda, Eng. Luhemeja amesema kuwa karibu kila banda alilopita limeweka mbele elimu, suluhisho …

Soma zaidi »

NCHI YETU NI TAJIRI SANA LAKINI TUSIPOKUWA MAKINI HUU UTAJIRI TUNAUPOTEZA..

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameonya juu ya hatari ya kupoteza rasilimali za taifa endapo juhudi madhubuti hazitachukuliwa kulinda mazingira. Akizungumza katika Maonyesho ya Sabasaba 2025, Eng. Luhemeja amesema Tanzania imebarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba, mito, maziwa, misitu, na viumbe hai wa aina …

Soma zaidi »