NEMC kwa kushirikiana na Taasisi ya Centre of Science and Environment (CSE) ya India imefanya mafunzo juu ya mbinu za kutengeneza Orodha ya Taka za Viwandani, lengo ni kutengeneza orodha ya viwanda vyote nchini na taka zinazozalishwa viwandani ili kuboresha usimamizi wa taka.
MatokeoChanya
December 5, 2025
CCM, Matokeo ChanyA+, MAZINGIRA, NEMC, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
269 Imeonekana