MKOA WA DAR ES SALAAM

ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA

Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo. 🎯 Katika banda hili maalum, wananchi wanapata: βœ… Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria βœ… Ushauri wa …

Soma zaidi »

LIVE : MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA KANISA LA ARISE & SHINE KAWE DAR ES SALAAM.

Karibu kutazama mubashara (LIVE) hafla ya kihistoria ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise & Shine katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe – Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika tukio hili maalum, Mhe. Rais anashiriki kwa heshima kuu kwenye …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa hayawezi kufikiwa bila ushiriki thabiti wa sekta binafsi

Amesema kuwa sekta ya fedha ni kichocheo kikubwa katika ukuaji wa Uchumi na ustawi wa wananchi kwa ujumla na ni moja ya sababu inyowezesha maendeleo ya Taifa kwenda kwa kasi. Amesema hayo leo Alhamisi (Julai 03, 2025) wakati wa uzinduzi wa Benki ya Maendeleo PLC, kuwa Benki kamili ya kibiashara, …

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ πŸ”΄RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU – DSM

#ijuesheria #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Sera za kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari

Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe la Msingi Jengo la Taaluma na Utawala la taasisi hiyo Buyu ,Wilaya ya Magharibi B ,Mkoa wa Mjini Magahribi. Aidha Rais Mwinyi ameahidi Serikali kuendelea Kushirikiana na Taasisi hiyo wakati wote kwa lengo la kuhakikisha Rasilimali za Bahari ziliyopo zinatumika ipasavyo ili kutoa Mchango …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni awasili katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam leo Desemba 16,2024, baada ya kuteuliwa hivi karibuni

Waziri Masauni amepokelewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Soma zaidi »