#SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »RAIS SAMIA ANASHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAKUU WA NCHI AFRIKA MASHARIKI
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameongoza Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jijini Arusha. Mkutano huu umewaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama kujadili masuala muhimu yanayoathiri kanda na mustakabali wa jumuiya. Mantiki ya Mjadala: Ufadhili Endelevu wa Jumuiya: Wakuu …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKAGUA MRADI WA UBORESHAJI WA GATI MBILI MPYA MRADI WA BANDARI YA TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 1 Machi 2025, amefanya ziara ya ukaguzi katika Bandari ya Tanga ili kujionea maendeleo ya mradi wa maboresho unaojumuisha ujenzi wa gati mbili mpya. Mradi huu unalenga kuboresha uwezo wa bandari hiyo katika kuhudumia shehena kubwa …
Soma zaidi »ZAHANATI YA SHULE YA WASICHANA TANGA NI MFANO WA KUIGWA.
Zahanati iliyopo katika Shule ya Wasichana imeleta mchango mkubwa katika utoaji wa huduma za afya kwa wasichana na jamii kwa ujumla. Hatua hii ni matokeo ya juhudi za pamoja kati ya serikali kuboresha sekta ya elimu na afya. Rais Samia ameonyesha msaada wake wa dhati kwa sekta ya afya kwa …
Soma zaidi »Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga
RAIS DKT. SAMIA AMWAGA NEEMA KWA WAVUVI MKOANI TANGA, BOTI ZA KISASA 35 ZA GAWIWA KWA WANANCHI
Tarehe 26.02.2025 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga amegawa boti 35 zenye thamani ya shilingi bilioni 4.47 kwa wavuvi wa Wilaya ya Pangani ikiwa ni awamu ya pili kwa Rais Mhe. Dkt. Samia kutoa boti kwa wavuvi Mkoani Tanga. Boti hizo zina uwezo …
Soma zaidi »RAIS SAMIA UFUNGUA KIWANDA CHA SARUJI NA CHOKAA PHASE TWO CHA MAWENI LIMESTONE LTD
Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kufungua rasmi Kiwanda cha Saruji na Chokaa cha Maweni Limestone kilichopo Jijini Tanga. Uwekezaji huu mkubwa unalenga kuchochea ukuaji wa sekta ya viwanda nchini, sambamba na dhamira ya serikali ya kuirejesha Tanga katika hadhi yake kama kitovu cha viwanda …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+