MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI YALIYOANZISHWA 2025
MSLAC YAGUSA NGUZO ZA JAMII SONGEA-ELIMU YA KISHERIA KWA VIONGOZI NA VIJANA 1200
LIVE kutoka Songea, Ruvuma, ambako Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa, wajumbe wa mashina, vijana, na wananchi wa kawaida. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wanapata maarifa kuhusu: Haki za kiraia na kijamii Mbinu mbadala za utatuzi …
Soma zaidi »MSLAC YAGUSA NGUZO ZA JAMII SONGEA-ELIMU YA KISHERIA KWA VIONGOZI NA VIJANA 1200
LIVE kutoka Songea, Ruvuma, ambako Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa, wajumbe wa mashina, vijana, na wananchi wa kawaida. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wanapata maarifa kuhusu: Haki za kiraia na kijamii Mbinu mbadala za utatuzi …
Soma zaidi »MSLAC YAWANOA KAMATI ZA SIASA NA UTEKELEZAJI NGAZI ZA MATAWI
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei, 2025
TANZANIA YETU, FAHARI YETU
VIONGOZI WATOA MAONI YAO BAADA YA SEMINA YA MSLAC
SERIKALI YAZIDI KUWAGUSA WANANCHI, KWA UZINDUZI WA MIRADI NA USAMBAZAJI ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA
Katika safari ya kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na haki kwa wote, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria chini ya Waziri Dkt. Damas Ndumbaro, yazindua miradi ya maji safi na salama pamoja na kusambaza elimu ya msaada wa kisheria …
Soma zaidi »SONGEA YALIPUKA KWA MAENDELEO – MIRADI MIKUBWA YAANIKA MATOKEO, WANANCHI WAANZA KUVUNA MAFANIKIO
Katika video hii, tunakupeleka moja kwa moja mkoani Ruvuma, wilaya ya Songea – ambako miradi mikubwa ya maendeleo chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, ikisimamiwa kwa karibu na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, imeleta mageuzi ya kweli katika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+