DAWA ZA KULEVYA

NILITAMANI KUFA MARA MOJA KULIKO MATESO YALE YA POLEPOLE

Mraibu wa dawa za kulevya anaeleza kwa uchungu jinsi alivyotamani dawa hizo zingekuwa ni sumu ya kumuua alipokuwa akizitumia, badala ya kumwacha hai ili aendelee kuteseka. Anasema mateso aliyoyapitia kwa zaidi ya miaka 15 yalikuwa makubwa kuliko maumivu ya kifo alikosa amani, heshima, kazi, familia na afya. Kila alipozitumia alitamani …

Soma zaidi »

USHIRIKIANO WA JAMII NA MAMLAKA KATIKA MAPAMBANO YA MATUMIZI NA BIASHARA YADAWA ZA KULEVYA UNAFAIDA

Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa sasa inashirikiana kwa karibu na asasi mbalimbali za kiraia katika kutoa elimu ya madhara ya dawa za kulevya kwa jamii. Ushirikiano huu unalenga kuimarisha uhamasishaji, kuibua taarifa kutoka kwa wananchi, na kushirikiana katika kutoa msaada kwa waathirika. Kupitia mikutano ya kijamii, …

Soma zaidi »

🔴 LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.

Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …

Soma zaidi »

TUJITOKEZE KWA WINGI! TUUNGANE NA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Wana-Dodoma na Watanzania kwa ujumla, mnakaribishwa kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya kitakachofanyika tarehe 26 Juni 2025, kuanzia saa 1:00 asubuhi, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma. Mgeni rasmi atakuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa …

Soma zaidi »

UWEZESHAJI WA WARAIBU WA ZAMANI, SULUHISHO LA KUDUMU KUKOMESHA UREJEO WA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Mdau wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Nuru Saleh Ahmed ameeleza kuwa Ni muhimu kwa Serikali kushirikiana na jamii katika kuwawezesha waraibu wa zamani wa dawa za kulevya kwa kuwapatia mitaji na fursa za kiuchumi baada ya wao kuacha matumizi ya dawa hizo. Utafiti na hali halisi unaonesha kuwa …

Soma zaidi »

VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA

Katika Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na …

Soma zaidi »

VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA

Katika kilele cha Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika …

Soma zaidi »

TAMASHA LA VIJANA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA LAFANA JIJINI DODOMA

Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi …

Soma zaidi »

FAINALI WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA – WAGOLOKO FC YAICHAPA MWAISE FC 2-0

Katika fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, timu ya Wagoloko FC iliibuka kidedea kwa kuifunga Mwaise FC mabao 2–0, mbele ya mamia ya mashabiki waliokuwa wakishangilia kwa hamasa kubwa. Kamishna Lyimo amesema tukio hilo limekuwa zaidi ya mchezo limekuwa darasa la mshikamano, nidhamu …

Soma zaidi »