MAONESHO YA SABASABA: BANDA KATIBA NA SHERIA LINAENDELEA KUTOA HUDUMA.

Katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba, wananchi wanaendelea kupata elimu na msaada wa kisheria BURE kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa sheria. Hii ni sehemu ya kampeni ya serikali inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anafahamu haki zake na kupata msaada wa kisheria pale inapohitajika.

๐ŸŽฏ Huduma zinazotolewa:

โœ… Ushauri wa kisheria

โœ… Elimu juu ya haki za binadamu

โœ… Jinsi ya kufungua mashauri

โœ… Kusaidiwa kutatua migogoro ya ndoa, ardhi, ajira n.k.

โœ… Elimu kuhusu sheria mbalimbali nchini

๐Ÿค Fursa hii ni ya kipekee kwa wananchi kujifunza, kuuliza maswali, na kupata msaada wa moja kwa moja kutoka kwa wanasheria waandamizi na maofisa wa serikali.

๐Ÿ“ข Tembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria โ€“ Hakikisha hupitwi!

๐Ÿ” Share video hii ili wengine pia wajifunze na kufaidika!

#MaoneshoYaSabasaba #MsaadaWaKisheria #ElimuYaSheria #MamaSamiaLegalAid #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria #Tanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *