Hotuba nzito na yenye maelekezo ya kina kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana – Mhe. Joel Nanauka, akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Vijana kuhusu wajibu wao katika kusimamia, kuhamasisha na kutekeleza ajenda ya maendeleo ya vijana nchini.
Hotuba hii inasisitiza uwajibikaji, uzalendo, ubunifu na mshikamano katika kuhakikisha vijana wanapata fursa, wanawezeshwa kiuchumi na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya taifa.
#WaziriWaMaendeleoYaVijana #JoelNanauka #MaendeleoYaVijana #VijanaNiNguvuYaTaifa #AjendaYaVijana #VijanaNaMaendeleo #SerikaliInawawezeshaVijana #UongoziWaMaendeleo #MaafisaMaendeleoYaVijana #TanzaniaYaVijana #VijanaKazini #KizaziChaMabadiliko #MaonoYaVijana
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+