Maktaba ya Kila Siku: December 13, 2025

HOTUBA NZIMA YA RAIS SAMIA KWENYE MAOMBOLEZO YA JENISTA MHAGAMA | TUJALI MASLAHI YA TAIFA

Katika hotuba hii, Rais Samia amezungumzia kwa kina mchango wa marehemu kwa taifa, umuhimu wa uzalendo, mshikamano wa kitaifa, na wito kwa Watanzania wote kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi. Hotuba hii ni ya kihistoria, yenye mafunzo muhimu kwa viongozi na wananchi kwa ujumla, hasa katika kulinda amani, …

Soma zaidi »

🔴 LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MBUNGE JENISTA MHAGAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, …

Soma zaidi »