Maktaba ya Kila Siku: December 31, 2025
SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA NA MRADI WA MAJI KIMBIJI – MPERA.
“TANZANIA ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUDUMISHA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA KIKANDA” RAIS DKT. SAMIA
AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI IMEENDELEA KUIMARIKA KUFIKIA DOLLA BIL. 6.6.
“POLENI KWA CHANGAMOTO YA MAJI WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM” MHE. RAIS DKT. SAMIA
SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA MATHUBUTI ZA KUIMARISHA UCHUMI WA TAIFA.
TUWAOMBEE REHEMA ZA MWENYEZI MUNGU WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI.
🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA | SALAMU ZA MWISHO WA MWAKA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa katika salamu za kufunga Mwaka 2025 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, tarehe 31 Desemba, 2025, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+