Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo.
๐ฏ Katika banda hili maalum, wananchi wanapata:
โ Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria
โ Ushauri wa kisheria kutoka kwa wataalamu
โ Msaada kwa waliokumbwa na migogoro ya ardhi, ndoa, ajira, mirathi n.k.
โ Huduma kwa makundi maalum โ wanawake, watu wenye ulemavu, wazee, na vijana
๐ Lengo kuu ni kuhakikisha kila Mtanzania anapata uelewa wa sheria, anaweza kutetea haki zake, na anaondokana na uonevu unaotokana na kutojua taratibu.
๐ข Usikose kutembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria ndani ya viwanja vya Sabasaba โ Pata maarifa ya sheria moja kwa moja kutoka kwa wataalamu!
๐ Toa maoni yako, uliza maswali, na subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za msaada wa kisheria kote nchini.
#MsaadaWaKisheria #Sabasaba49 #HakiKwaWote #SheriaNiNguvu #KatibaNaSheria #TanzaniaYaHaki
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+