Maktaba ya Mwaka: 2025
WAZIRI DKT. ASHANTU KIJAJI AKIWASILISHA BAJETI YA MIFUGO NA UVUVI 2025/ 2026.
#bungelive #chadema #ijuesheria #katibanasheria #section4wakilitv #mslac #live #meimosi2025 #mifugo #UVUVI.
Soma zaidi »Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata watuhumiwa saba kwa ajili ya mahojiano huku pikipiki mbili zikikamatwa katika vijiji vya Ntomoko, Kinyasi na Haubi
#DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »EWE MWEKEZAJI, ONYESHA UZALENDO KWA KULIPA ADA NA TOZO ZA MAZINGIRA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Kuanzia Mei 14 hadi 19, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikisha uteketezaji wa ekari 157 zamashamba ya bangi yaliyokuwa katika vijiji vya Ntomoko, Kinyasi na Haubi
LIPA ADA NA TOZO ZA MAZINGIRA KWA MANUFAA YA AFYA YA JAMII NA MAZINGIRA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), zasaini mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa Uhifadhi wa Maeneo Oevu na Bioanuwai katika Kidakio cha Katuma, mkoani Katavi
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amkaribisha Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah, Ikulu Jijini Dar es Salaam
NEMC YASISITIZA UMUHIMU WA WAWEKEZAJI KULIPA ADA NA TOZO ZA MAZINGIRA
Tanzania Yafanikisha na Kuvuka Malengo Katika Sekta ya Utalii (2021-2024)
Sekta ya utalii nchini Tanzania imefikia na hata kuvuka malengo yaliyowekwa kwa kipindi cha mwaka 2021 hadi 2024, hatua inayodhihirisha mafanikio makubwa chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupitia juhudi za kimkakati, ikiwemo uzinduzi wa filamu ya Royal Tour, uwekezaji katika miundombinu ya kitalii, na kampeni …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+