Leo bungeni, Spika ametangaza rasmi uteuzi wa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangazo hilo limepokelewa kwa shangwe na pongezi kutoka kwa wabunge na wananchi nchini kote. Tazama video hii kwa taarifa kamili kutoka Bungeni Dodoma na maoni ya viongozi mbalimbali. #Tanzania #MwiguluNchemba #WaziriMkuu #Bunge #HabariLeo #sisinitanzania
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+