BREAKING NEWS: MWIGULU NCHEMBA ATANGAZWA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Leo bungeni, Spika ametangaza rasmi uteuzi wa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangazo hilo limepokelewa kwa shangwe na pongezi kutoka kwa wabunge na wananchi nchini kote. Tazama video hii kwa taarifa kamili kutoka Bungeni Dodoma na maoni ya viongozi mbalimbali. #Tanzania #MwiguluNchemba #WaziriMkuu #Bunge #HabariLeo #sisinitanzania

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AZUNGUMZA MARA BAADA YA KUAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa hotuba muhimu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *