Maktaba ya Mwezi: October 2025
NEMC kwa kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais kupitia Mradi wa kujenga uwezo katika Usimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira (EMA), yaanza kutoa mafunzo kwa maafisa forodha waliopo mipakani kuhusu usimamizi wa bidhaa hatarishi kwa mazingira zinazopita mipakani
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
Happy Nyerere Day, Watanzania!
Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — mtu aliyeweka msingi wa umoja, utu na maendeleo kwa taifa letu. Fikra zake bado zinatupa dira ya kujenga Tanzania yenye haki, usawa na heshima kwa kila mmoja. Ni siku ya kutafakari, kujifunza, na kuendeleza maono yake kwa vitendo — katika …
Soma zaidi »Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia Ofisi ya Kanda ya Kati, Oktoba 10, 2025 imetoa mafunzo kwa wakandarasi wa ujenzi waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB).
Uwekezaji wa Vizimba vya Samaki Jijini Mwanza – Fursa Kubwa ya Uchumi wa Maji
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni mfano halisi wa jinsi teknolojia na ubunifu vinavyoweza kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania.
Soma zaidi »NEMC NA ZEMA ZAIMARISHA MAHUSIANO NA MASHIRIKIANO KATIKA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA NCHINI
NEMC kupitia ofisi yake ya Kanda ya Bagamoyo imetoa elimu ya mazingira kwa Shule ya Msingi Nia Njema leo Oktoba 9, 2025.
Elimu hiyo iliyotolewa kwa walimu na wanafunzi imelenga kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
Soma zaidi »NEMC na ZEMA zafikia makubaliano katika Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini.
Makubaliano hayo yamefikiwa katika kikao kilichofanyika Oktoba 7 hadi 8, 2025 ambapo wajumbe wa Bodi na wataalamu kutoka taasisi hizo walikutana kubadilishana uzoefu kuhusu utekelezaji wa majukumu yao.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+