Maktaba ya Mwezi: September 2025

🔴 LIVE: SAMIA SULUHU HASSAN AINGIA KWA KISHINDO MBEYA – MBALIZI

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Mbalizi, Mbeya, kwa kishindo kikubwa akipokelewa na umati wa wananchi waliojitokeza kumpokea. Katika hotuba yake, amewaomba wananchi waendelee kumpa imani na kura kwa ajili ya kiti cha urais. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wa Mbeya wameonesha mshikamano na furaha kubwa huku wakisifu maendeleo na …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa madereva wa Serikali wanawajibu wa kufanya kazi kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu ikiwemo ukaguzi wa gari kabla na baada ya safari, kujaza na kutunza kikamilifu taarifa za safari na matengenezo.

Amewataka madereva na wasimamizi wahakikishe usalama wa vyombo vya usafiri, abiria, mizigo na nyaraka za Serikali pamoja na kutumia vifaa vya kisasa vya usalama, na kujiepusha na tabia zinazoweza kuhatarisha maisha, mali na siri za Serikali. Ameyasema hayo leo (Jumanne, Septemba 2, 2025) alipofungua Mkutano wa Chama cha Madereva wa …

Soma zaidi »