Maktaba ya Kila Siku: July 31, 2025
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KWALA MKOA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi wa Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025. #SGRTanzania #RaisSamia #MizigoKwaSGR #KwalaTerminal #MageuziYaUsafiri #TanzaniaInajengwa
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA SGR KWALA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia nyingine katika sekta ya usafirishaji nchini kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kwala, mkoani Pwani. Uzinduzi huu unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi ya kimkakati katika usafiri wa mizigo nchini na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+