Maktaba ya Kila Siku: July 9, 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka

Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua miundombinu ya madarasa, mabweni,maabara na baadaye kushuhudia wanafunzi waliokuwa wakijiunga na kuzungumza na walimu wa shule hiyo. Waziri Mchengerwa amesema ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na walimu hao kwani katika kipindi chote shule imekuwa miongoni mwa shule zenye …

Soma zaidi »

ALIYEKUWA MRAIBU WA DAWA ZA KULEVYA ATOA SHUKRANI KWA DCEA KWA KUMREJESHA KUISHI MAISHA MAPYA

Rehema Peter Mjindo, mmoja wa waathirika wa zamani wa dawa za kulevya, ameeleza kwa furaha jinsi alivyofanikiwa kuachana kabisa na matumizi ya dawa za kulevya kupitia msaada alioupata kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA). Rehema amesema kuwa kupitia huduma ya matibabu na ushauri aliopewa, alifanikiwa …

Soma zaidi »