Maktaba ya Kila Siku: July 6, 2025

🌿 SIKU YA MAZINGIRA NDANI YA MAONESHO YA SABASABA 2025 🌿

Tazama tukio maalum la kuadhimisha Siku ya Mazingira ndani ya maonesho ya 48 ya Sabasaba, likiwa limebeba kaulimbiu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa vitendo. Katika video hii utashuhudia: ✅ Ushiriki wa taasisi mbalimbali za mazingira ✅ Utoaji wa elimu kwa wananchi juu ya mabadiliko ya tabianchi, usafi wa mazingira …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la  Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025

Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmi na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini …

Soma zaidi »