Maktaba ya Mwezi: November 2024

Kaulimbiu ya Miaka 25 ya EAC: Kutafakari na Kujenga Mustakabali wa Baadaye

Kaulimbiu ya maadhimisho, “Miaka 25 ya Ushirikiano wa Kikanda: Safari ya Kutafakari na Matarajio ya Baadaye,” inatoa mwelekeo wa majadiliano ya jinsi EAC inavyoweza kuimarisha mshikamano wa kiuchumi, kijamii, na kisiasa miongoni mwa nchi wanachama, ambazo ni Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania, Uganda, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Soma zaidi »

Viongozi wa EAC Wakutana Arusha Kutafakari Safari ya Robo Karne

Katika tukio la kihistoria linaloangazia miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wakuu wa nchi na serikali kutoka mataifa wanachama wamekutana jijini Arusha, Tanzania. Maadhimisho haya yanalenga kutafakari mafanikio, changamoto, na fursa zilizoshuhudiwa katika safari ya ushirikiano wa kikanda tangu kuanzishwa kwa jumuiya hii mwaka 1999.

Soma zaidi »

HOTUBA YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA KATIKA UONGOZI KWENYE MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU MZUMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa misingi inayoshajihisha uongozi wake ni ufanyaji wa maamuzi kwa kushirikisha wadau, kwa kuoongozwa na ushahidi na utafiti, na kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania. Rais Dkt. Samia ameyasema hayo leo wakati akitunikiwa Shahada ya …

Soma zaidi »

Rais Samia Aongoza Safari ya Kihistoria kwa Treni ya SGR, Akionesha Mafanikio ya Miradi ya Kimkakati

Mnamo tarehe 23 Novemba, 2024, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alifanya safari kwa Treni ya Kisasa ya SGR kutoka Jijini Dar es Salaam hadi Stesheni ya Jakaya Kikwete mkoani Morogoro. Tukio hili linaakisi mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayolenga kuboresha …

Soma zaidi »

“Dunia bila Njaa na Umaskini” Rais Samia Atoa mwito wa mageuzi ya haki katika mkutano wa G20.

Ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Rais Lula da Silva kwa mwaliko na ukarimu wa hali ya juu. Leo, tunajikuta katika dunia iliyojaa utajiri wa rasilimali lakini bado Afrika inakumbwa na viwango vya umasikini, njaa, magonjwa, utapiamlo, na uzalishaji hafifu visivyoweza kudumishwa. Dunia ambako idadi kubwa ya vijana wanakabiliana na …

Soma zaidi »