Ujenzi wa Miundombinu ya Shule za Msingi;

Ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 ulitekelezwa chini ya mpango wa kuboresha elimu ya msingi, hasa kupitia miradi ya SEQUIP (Secondary Education Quality Improvement Program) na BOOST (Boost Primary Education Program).

#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *