Zipo aina 3 za Mataruma-:
1.Mbao,
2.Chuma na
3.Zege
lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani,
Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali.
Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+