Taarifa ChanyA+
September, 2018
-
6 September
Live Rais Magufuli: Azungumza na Wananchi katika Mkutano wa Hadhara Serengeti Mkoa wa Mara – Tarehe 6 Septemba 2018
#NiSisiSisi Watanzania #MATAGA
Soma zaidi » -
6 September
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo Ameziagiza Halimashauri Zote za Mkoa Kusimamia Vyema Uukusanyaji wa Mapato.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo ameziagiza Halmashauri zote za Mkoa huo kusimamia vyema swala la ukusanyaji wa Mapato sambamba na kuipa ushirikiano wa kutosha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mhe. Gambo ametoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru katika ziara yake …
Soma zaidi » -
6 September
MKUU WA WILAYA YA HAI ACHUKUA HATUA SHAMBA LA KIBO AND KIKAU ESTATE KUKWEPA KULIPA KODI YA SERIKALI MILI 700
MKUU wa wilaya ya Hai Mh. Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa na kuwekwa rumande kwa saa 48 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudi inayomiliki Shamba la Kibo and Kikafu Estate Bwana Jensen Natal pamoja na Manasheria wa kampuni hiyo Bwana Edward Mroso. mbali na kukamatwa kwa watu hao Mkuu huyo …
Soma zaidi » -
6 September
ALIYOYASEMA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. JOYCE NDALICHAKO WAKATI WA MAHOJIANO NA TBC TAIFA KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BODI YA KITAALAMU YA WALIMU
– Lengo la Bodi ni kuwa na Muundo na Chombo Cha Kisheria ili kutambua rasmi taaluma ya Ualimu kama zilivyo taaluma nyingine – Ili kutimiza malengo yaliyowekwa na Serikali katika Elimu, thamani ya walimu ni jambo ambalo linapewa kipaumbele sana. -Muswada wa Sheria ya bodi ya kitaalamu ya walimu umekuwa …
Soma zaidi » -
6 September
LIVE Rais Magufuli: Butiama Mkoani Mara – Tarehe 6 Septemba 2018
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Butiama mkoani Mara ambapo Mhe. Rais Dkt. Magufuli anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu katika Wilaya ya Butiama yenye urefu wa km 135 kisha atazungumza na wananchi. Fuatilia kwa kubofya link hii 👇🏽 AU Sikiliza online Radio – Radio chanyA+ kwa …
Soma zaidi » -
6 September
Taarifa Ya Uteuzi Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Ikulu Ndogo Musoma – Tarehe 6 Septemba 2018
Uteuzi wa Nafasi ya juu ya uongozi kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini – TAKUKURU Rais wangu… yupo kazini kujenga Taifa lenye wananchi wanaokataa rushwa kwa VITENDO na kutoka MOYONI Nchi yangu… ipate Matokeo ChanyA+ 110% kimaadili na UZALENDO kwa nchi yetu. #SisiNiTanzaniaMpyA+ Gerson Msigwa: Mkurugenzi wa Mawasiliano …
Soma zaidi » -
5 September
RAIS MAGUFULI; ANAFUATA NYAYO ZA MWALIMU NYERERE KWA KARIBU SANA – MZEE MSEKWA
Asema ni kiongozi tuliyejaaliwa na Mwenyezi Mungu Akiri baadhi ya mambo yaliyowashinda Awamu ya Kwanza (wakati wao wa uongozi wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere) Rais Magufuli ameyatekeleza kwa ufanisi mkubwa kabisa ikiwemo suala la serikali kuhamia Makao Makuu Dodoma.
Soma zaidi » -
5 September
LIVE Radio ChanyA+
Radio ChanyA LIVE Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza Na Wananchi Katika Uwanja Wa Mkendo. Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Soma zaidi » -
5 September
Live: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi katika uwanja wa Mkendo – Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi katika uwanja wa Mkendo Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Soma zaidi » -
5 September
Live: Rais Magufuli Atembelea Shule Aliyosoma Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere – Tarehe 5 Septemba 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi Leo Tarehe 5 Septemba 2018. Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya …
Soma zaidi » -
5 September
Tulijisahau..Sasa ni wakati wa kusafisha nyumba; Fagia!! Ili Nchi irudi kwenye mstari – Prof. Kabudi
#MATAGA https://soundcloud.com/user-105000585/hotuba-ya-kizalendo-ya-waziri-prof-kabudi-alipozungumza-na-watanzania-waishio-marekani
Soma zaidi » -
5 September
Prof. Kabudi: RAIS MAGUFULI ATAKAMILISHA MIRADI YOTE ALIYOTAMANI KUIFANYA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE!
“Na kazi ya Awamu hii ya tano, ni kukamilisha mambo yote ambayo mwalimu alitamani yafanyike lakini alihujumiwa yasikamilike. Yepi hayo? Moja; Ni kuhamisha Makao Makuu kwenda Dodoma…” “Nendeni msome hansadi za Registrative council mwaka 1959.. Waingereza wanazungumzia ..wakoloni wale..watawala wale.. kuhamishia makao kwenda dodoma. Shida ilikuwa ni fedha! Nendeni msome …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+