Taarifa ChanyA+
September, 2018
-
11 September
RAIS WETU… ni Jembe!!
• Awa mfano wa utatuzi wa Kero za wananchi. Migogoro ya ardhi, dhuluma, matatizo ya kero katika shule/elimu, ufanisi katika miradi, uwajibikaji na maamuzi yaliyowashinda viongozi wengine yametatuliwa katika kila eneo analosimama akiwa riarani • Ziara zake, zinaacha alama isiyofutika katika kila eneo alilopita. Barabara, hospitali, majengo, viwanja vya ndege, …
Soma zaidi » -
10 September
DSM: “Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam” Paul Makonda
Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni, ambacho nusu yake imetumika kuwalipa mgambo ambao wanatekeleza kampeni hiyo. Akizungumza kwenye mkutano na wadau wa usafi na …
Soma zaidi » -
10 September
IRINGA: Asilimia 90 ya mitambo inayozalisha karatasi katika kiwanda cha Mgololo ni ile iliyonunuliwa na serikali ya awamu ya kwanza
Asilimia 90 ya mitambo inayozalisha karatasi katika kiwanda cha Mgololo ni ile iliyonunuliwa na serikali ya awamu ya kwanza ya Baba wa taifa hayati mwalimu Julius Nyerere miaka ya 1980. Nimetaka maelezo kwanini haujafanyika uwekezaji mpya wa kutosha?
Soma zaidi » -
10 September
BUNGENI: Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa.
Soma zaidi » -
10 September
BUNGENI: Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai alipokutana na kuzungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai alipokutana na kuzungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verhuel alipomtembelea. 10 Septemba, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Soma zaidi » -
10 September
Mhe. ANTONY MTAKA Ni nani? Historia yake hii hapa.
“Nimeuliza ripoti ya Wakuu wa Mikoa Tanzania wanaofanya vizuri, wakaniletea ANTHONY MTAKA ndiye Namba Moja, na Namba Mbili ni yeye. Kwa kifupi hana mfano” Mh. Rais Dr. JPM, Simiyu. Je ni nani huyu Mkuu wa Mkoa Mhe. MTAKA.. na ametokea wapi? Mheshimiwa MTAKA anajipambanua katika sifa zifuatazo:- 1. Mkuu wa …
Soma zaidi » -
10 September
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Ashinda Pambano la Masumbwi Birmingham Uingereza
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (miaka 23) jumapili tarehe 08 Septemba 2018 alimshinda kwa TKO (Technical KnockOut) bondia Muingereza Sam Eggington bondia (miaka 25) Mwakinyo ambaye katika pambano hilo hakuwa anapewa nafasi ya kushinda, alionyesha umahiri wa hali ya juu na kulimaliza pambano katika round ya pili tu. Bondia huyo Mtanzania …
Soma zaidi » -
9 September
LIVE: Rais Magufuli anahutubia wananchi wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Stendi Mwanhuzi ambapo Rais Magufuli anawahutubia wananchi wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bofya link hii ili kutazama
Soma zaidi » -
9 September
Live: Rais Magufuli amesimamna na kuzungumza na wananchi wa Kisesa- Simiyu
Bofya link Hii kutazama
Soma zaidi » -
8 September
LIVE: Matangazo ya moja kwa moja kutoka Julius Nyerere International Conference Center ambapo Shindano la Miss Tanzania linafanyika
Fuatilia kwa kubofya link hii
Soma zaidi » -
8 September
SIMIYU: Mhe. Rais Magufuli amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Anthony Mtaka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 08 Septemba, 2018 ameendelea na ziara yake katika Kanda ya Ziwa ambapo ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Lamadi na kufungua barabara za Mji wa Lamadi katika Wilaya ya Busega, amefungua jengo la …
Soma zaidi » -
8 September
AFYA: Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli.
Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli. “Amejiweka kwenye mtego wangu…kwa sababu fedha zipo…wakandarasi wapo na wagonjwa wapo…,” – Rais Magufuli.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+