Recent Posts

SAFARI YA MAENDELEO YA SEKTA YA NISHATI TANZANIA, KUTOKA 1963 HADI 2025

Tangu uhuru mwaka 1963, sekta ya nishati imekuwa mojawapo ya vichocheo vikubwa vya maendeleo ya Tanzania. Awali, nchi ilitegemea kuni, mkaa, na mafuta ya taa kama vyanzo vikuu vya nishati. Hata hivyo, hatua muhimu zimechukuliwa kufanikisha maendeleo ya sekta hii: 1. 1963-1980,Serikali ilianza uwekezaji katika miradi ya umeme wa maji, …

Soma zaidi »

SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI YAPAA, UCHUMI WA TANZANIA WAZIDI KUNUFAIKA!

Sekta ya mifugo na uvuvi ni nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania. Idadi ya mifugo imeongezeka, ikiwemo ng’ombe milioni 35, huku ujenzi wa machinjio na viwanda vya maziwa ukiongeza thamani. Uvuvi umeimarika kupitia mabwawa na uvuvi wa kisasa, na serikali imewekeza kwenye bandari na masoko ya samaki. Hatua hizi zimeongeza …

Soma zaidi »

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi mzuri wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kilichopo jijini Dodoma

Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Japhet Hasunga baada ya kutembelea na kukagua mradi huo pamoja na wajumbe wa kamati hiyo leo tarehe 23 Januari 2025. Hasunga ameitaka TANROADS kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa miundombinu ya kiwanja hicho ili kuweza kukamilika …

Soma zaidi »

Mama katika tuzo ya mlipa kodi bora Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025

Soma zaidi »