Tanzania, Nchi iliyobarikiwa vivutio vya asili visivyo na mfano, tamaduni zinazovutia, watu wakarimu na maendeleo yanayoangaza bara zima. Kutoka Mlima Kilimanjaro hadi Zanzibar, kutoka Serengeti hadi SGR na viwanda vipya, tunaonesha jinsi Tanzania inavyochochea matumaini mapya kwa bara la Afrika. Vivutio vya utalii na urithi wa dunia Mafanikio ya maendeleo …
Soma zaidi »Recent Posts
MRADI WA URANI WALETA AJIRA NA MATUMAINI KWA WAKAZI WA SONGEA SCOLASTICA
Bi. Scolastica Ernest Lole ni miongoni mwa wananchi walioguswa moja kwa moja na fursa za ajira kupitia mradi wa uchimbaji wa madini ya urani unaoendeshwa na Kampuni ya Mantra Tanzania Ltd. Akiwa mfanyakazi wa Ako Group Ltd kampuni iliyopewa zabuni ya kutoa huduma ya chakula, usafi wa mazingira na malazi …
Soma zaidi »UZINDUZI WA KIWANDA CHA MAJARIBIO CHA KUCHENJUA URANI KATIKA ENEO LA MTO MKUJU NI NEEMA KWA TAIFA
Urani Mto Mkuju: Mlango Mpya wa Maendeleo na Uchumi wa Juu kwa Tanzania Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani katika eneo la Mto Mkuju, mkoani Ruvuma, umetajwa kuwa hatua muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bwana Menani Lameck Ezekia, mtaalamu …
Soma zaidi »HUU NDIO WAKATI WETU MUAFAKA WA KUFANYA KAZI ILI KULIJENGA TAIFA LETU TANZANIA
KOROSHO YA TANZANIA, DHAHABU NYEUPE INAYOITANGAZA NCHI KIMATAIFA.
🎥 Usikose kutazama mpaka mwisho ili kufahamu jinsi “dhahabu hii nyeupe” inavyobadili maisha ya Watanzania na kuiweka Tanzania katika ramani ya biashara ya kimataifa. 🔔 Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu kilimo, biashara na maendeleo ya Tanzania. #KoroshoTanzania #KilimoBiashara #MadeInTanzania #UchumiWaKijani #ChanyATV
Soma zaidi »HII NI NCHI YANGU TANZANIA
Hii ni Nchi Yangu Tanzania” – Sehemu ambapo uzalendo, uzuri wa asili, utamaduni wa kipekee, na mafanikio ya taifa hukutana. Karibu utazame video hii inayobeba taswira halisi ya Tanzania – ardhi yenye amani, watu wenye upendo, vivutio vya kuvutia, historia ya kujivunia, na jitihada kubwa za maendeleo chini ya uongozi …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




