Recent Posts

RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI WA KIFURU, CHANIKA NA GONGOLAMBOTO KUANZA KUPATA MAJI SAFI IFIKAPO DISEMBA 31 BAADA YA UJENZI WA TANK LA LITA MILIONI MBILI KUKAMILIKA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewahakikishia wakazi wa Kifuru na Chanika kuanza kupata huduma Bora za Maji safi ifikapo Disemba 31 ikiwa ni utekelezaji wa agizo na ahadi aliyotoa Rais Dkt. John Magufuli kwa Wananchi wakati wa mkutano wa kampeni Jijini humo.RC Kunenge akiambatana na …

Soma zaidi »

SERIKALI YASHAURIWA KUWAAMINI WAKANDARASI WAZAWA

Na Jumbe Ismailly SINGIDA Serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara ya ujenzi imeshauriwa kuendelea kuwaamini Wakandarasi wazawa kuwa wana uwezo wa kujenga kwa viwango vinavyotakiwa na kukamilisha kwa wakati kazi za ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja. Akitembelea na kukagua shughuli za ujenzi wa barabara pamoja na …

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE AMEWATAKA VIJANA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUZICHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Rais Mstaafu ,Dkt Jakaya Kikwete  amewataka vijana wa jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha  wanashiriki kikamilifu katika jumuiya ya Afrika mashariki na kuweza kuzichangamkia fursa zilizopo.Aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa vijana wa jumuiya ya Afrika mashariki (YouLead)uliofanyika  mkoani Arusha. Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akipiga selfie na Vijana na …

Soma zaidi »