Recent Posts

HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI YA KWANZA KWA UBORA AFRIKA 2020

Hifadhi ya Taifa Serengeti imeshinda Tuzo ya kuwa Hifadhi Bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2020. Tuzo hiyo imetangazwa Novemba 9,2020 na Taasisi ya World Travel Awards (WTA) ya nchini Marekanl kwa njia ya Mtandao. Hii ni mara ya pili kwa Hifadhi ya Taita Serengeti kushinda katika Kundi la …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja wa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli …

Soma zaidi »

JAFO AWAJIA JUU TARURA, UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Wakala wa barabara za vijijini na Mijini(TARURA) wanaosimamia ujenzi barabara ya mzunguko katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kukamilisha ujenzi huo ndani ya muda uliowekwa. Jafo ametoa agizo hilo wakati alipotembelea eneo …

Soma zaidi »

MAKAA YA MAWE RUVUMA YAINGIZA BILIONI 400 NA KUTOA AJIRA 700

Madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa mkoani Ruvuma yameingiza zaidi ya shilingi bilioni 400 na kutengeneza ajira za watanzania zaidi ya 700. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kiasi hicho  cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya madini ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni  3.3 ambayo …

Soma zaidi »

RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AAPISHWA RASMI

Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.

Soma zaidi »