MAKAMU WA RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MENEJMENT NA IDARA YA MAZINGIRA KIKAO KAZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalim.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *