Mbunge wa Chalinze Ndg. Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Kibindu kuwa shida ya maji itabaki kuwa historia, akiongea mbele ya wananchi wa Kijiji cha Kwamduma, kata ya Kibindu Mh.Mbunge alimshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali kwa hatua zinazochukuliwa kupata ufumbuzi wa shida ya maji katika kata hiyo. Maneno hayo …
Soma zaidi »SINGIDA MASHARIKI KUPATA MAJI YA UHAKIKA
Jumla ya visima 13 vya maji vimejengwa katika Jimbo la Singida Mashariki ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyoahidi kumtua mama ndoo ya Maji kichwani. Akizungumza mara baada ya kukagua kazi ya uchimbaji wa kisima kirefu cha maji katika kijiji cha Munkinya, …
Soma zaidi »MIRADI YA MAJI CHALINZE INATARAJIWA KUKAMILIKA MWAKA 2021
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete akizungumza na Meneja DAWASA – Chalinze, Bw. Onest Makoi Meneja wa Dawasa wa Chalinze mkoani Pwani amesema kuwa miradi maji inayoendelea katika jimbo la Chalinze inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwaka 2021. Amezungumza hayo wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la …
Soma zaidi »RUWASA NA DAWASA KUMALIZA KERO YA MAJI BAGAMOYO
Na Mwamvua Mwinyi, BagamoyoWakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) na Dawasa wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wamedhamiria kumaliza kero ya maji kwa wakazi wilaya Bagamoyo , pamoja na Mji wa Vikawe uliopo Kibaha Mji.Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa Ruwasa wilayani humo Mhandisi James Kionaumela na …
Soma zaidi »MKOA WA KAGERA WAKAMILISHA MIRADI YA MAJI 73
Mkoa wa Kagera umekamilisha jumla ya miradi ya maji 73 yenye thamani ya shilingi 62,516,688,102 hivyo kuongeza hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kutoka asilimia 42 iliyokuwepo mwaka 2015 katika miji hadi kufika asilimia 65 iliyopo sasa na kwa vijijini kutoka asilimia 53 hadi asilimia 67. Kaimu …
Soma zaidi »SERIKALI KUTUMIA BILIONI 1 KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI JIJINI DODOMA
Serikali kupitia Wizara ya Maji imeipatia Mamlaka ya Majisafi na Usafi waMazingira Mjini Dodoma (DUWASA) kiasi cha shilingi bilioni 1 iii kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo yenye changamoto ya huduma hiyo jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga alipotembelea kisima kimojawapo …
Soma zaidi »MRADI WA MAJI WA MKURANGA KUINUA KIWANGO CHA HUDUMA KUTOKA ASILIMIA 17.6 MPAKA 83
Mradi wa Maji wa Mkuranga kuinua kiwango cha huduma ya maji kutoka asilimia 17.6 mpaka 83, kutoka wakazi 4,500 mpaka 25,500 wa vijiji 9 katika Mkoa wa Pwani. Mradi huo wa Sh. bil 5.5 umefikia asilimia 85 na unatarajiwa kukamilika mwezi Disemba, 2020.
Soma zaidi »BILIONI 13 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI MKOANI GEITA
Wananchi wa vijijini mkoani Geita watanufaika na huduma ya majisafi kutoka asilimia 60 hadi kufikia asilimia 75 ifikapo mwezi Desemba, 2020 baada ya kiasi cha shilingi bilioni 13 kupangwa kukamilisha miradi ya maji. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Geita Mhandisi Nicas …
Soma zaidi »MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKAGUA MRADI WA TANKI LA MAJI NA SEHEMU YA KUSAMBAZIA MAJI
Baadhi ya mitambo za kusukumia maji iliyopo kwenye mradi wa Makongo Juu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na viongozi wa Dini wakiwasili kwenye mradi wa maji wakiongozwa na Meneja wa miradi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar …
Soma zaidi »MRADI WA MAJI WA SOMANGA MKOANI LINDI UNATARAJIWA KUKAMILIKA BAADA YA SIKU 50
Mradi wa Maji wa Somanga katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi unatarajiwa kukamilika baada ya siku 50 tayari kuhudumia vijiji vya Somanga Kaskazini na Kusini kwa wananchi zaidi ya 8,000 kwa gharama ya Sh. mil 400 chini ya utekelezaji wa wataalam wa ndani kupitia mpango wa PfR.
Soma zaidi »