Tanzania MpyA+

LIVE:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA – DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, amezindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia jijini Dar es Salaam. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akikagua barabara Dodoma

Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.

Soma zaidi »

SAUTI MPYA YA UZALENDO, β€œSISI NI TANZANIA!”

🎬 Hakika, huu si muda wa kukaa kimya – ni wakati wa kusimama, kusema na kutenda. Sisi si watazamaji, SISI NI TANZANIA! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ”” Bonyeza Subscribe, Like, na Share ili ujumbe huu uwafikie vijana wote wa Tanzania! πŸ‘‡ Tuambie kwenye comment: Wewe kama kijana, unalijengeaje taifa lako? #SisiNiTanzania #VijanaNaMaendeleo #MatokeoChanyA …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »