Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kwamba, kwa sasa umeme unaozalishwa nchini unatosheleza mahitaji ya wananchi; bali jitihada za kuzalisha umeme mwingi zaidi zinazoendelea kufanywa na Serikali, ni kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwekezaji kutoka Kampuni ya Jos’ Hansen ya Ujerumani, Michael Kabourek, …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA
TESEApp; Yazinduliwa Rasmi Leo!
• Haya ni Matokeo ChanyA+ ya matumizi sahihi ya SIMU ZA MKONONI, TABLETS, LAPTOPS na KOMPUTERS KWA WANAFUNZI WA NCHI YETU! • Ni ‘application’ inayoweza kupakuliwa (download) katika aina zote za SMART PHONE, TABLETS, LAPTOPS na COMPUTERS. • Imebuniwa na kutengeneza vijana wazawa, wataalamu wa Kitanzania (Made in Tanzania …
Soma zaidi »UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA WASHIKA KASI
Ni barabara yenye urefu wa km 66.9 ambayo haikuwahi kujengwa tangu Uhuru, ni moja ya maamuzi ya Serikali ya Awamu ya Tano baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kuamua kwa dhati kutekeleza kikamilifu ILANI ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015 …
Soma zaidi »IRINGA MPYA+
Mkakati wenye Matokeo chanyA+ 110% wa mkoa wa Iringa. Mhe. Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa huo, amefanya ziara katika tarafa zote 15 Amefanya mikutano mikubwa 20 na mikutano midogo 65 Mhe. Hapi amefanikiwa kutatua kero mbalimbali zipatazo 849 za wananchi wa mkoa huo RC Hapi katika ziara hiyo ya Iringa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU
TAARIFA MUHIMU
• Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu • Inahusu Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa SADC kwamba Rais Magufuli ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Agosti 2018 hdi Agosti 2019. • Pia; …
Soma zaidi »NACHINGWEA YATANGAZA UZINDUZI WA MSIMU WA UUZAJI KOROSHO 2018/2019
Pamoja na uzinduzi huo, Mhe. Rukia ameendelea kuunga mkono wito wa serikali kwa kukaribisha wawekezaji wa viwanda vya kubangua korosho wilaya humo ili wakulima wanufaike zaidi na kuongeza thamani ya zao hilo sambamba ya ajira kwa wakulima na watakao ajiriwa katika viwanda vhivyo. Tarehe ya Uzinduzi 13/10/2018 siku ya Jumamosi …
Soma zaidi »MKUU WA JKT AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIKOSI CHA MAFINGA JKT
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania (JKT) Meja Jenerali Martin Busungu Ijumaa tarehe 05/10/2018 ametembelea kikosi cha JKT Mafinga na kukagua shughuli mbalimbali za uzalishaji mali zinazofanywa na kikosini hapo. Ziara hiyo ya Mkuu wa jeshi la Kujenga Taifa ni muendelezo wa ziara zake za kujitambulisha na kujionea …
Soma zaidi »MIKOA YA DODOMA,GEITA NA NJOMBE YAONGOZA MAKUSANYO YA KIMKOA
Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+