Tanzania MpyA+

TANZANIA YA VIWANDA: Wakulima Mkoani Ruvuma Waendelea Kunufaika na Kiwanda Cha Kubangua Korosho!

Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima. Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo. Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho. Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.

Soma zaidi »

WANANCHI WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KV400 WAANZA KULIPWA FIDIA.

Serikali imeanza kulipa fidia kwa wananchi 4000 waliopisha mradi wa kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400  kutoka Singida hadi Namanga ambapo zoezi la ulipaji fidia litakamilika hivi karibuni. Mradi huo wa kusafirisha umeme wa kV400 kutoka Singida hadi Namanga utaunganisha nchi za Tanzania na Kenya na unafahamika kama …

Soma zaidi »

InfoChanyA+ MICHE MILLION 60 YA MITI IMEPANDWA KATIKA MASHAMBA TANZANIA.

Miche milioni 60 ya miti mbalimbali ilipandwa katika mashamba huku miche milioni 30 ikitolewa  wananchi na taasisi kwa ajili ya kupandwa Kwa nini tunahitajika kupanda miti? Tupande miti kwani maisha yetu yanategemea sana miti. Miti ni uhai. Tunatakiwa kupanda miti na kuitunza ili ituletee faida. Tupande miti ili tuokoe misitu …

Soma zaidi »

LIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania.   Fuatilia moja kwa moja …

Soma zaidi »

video & link; TESEApp Inamsaidiaje Mwanafunzi Kusoma mtandaoni?

Wataalamu wahojiwa na kuelezea. Wasimulia na kuonyesha mifano dhahiri kilichomo ndani ya App hiyo ambacho ni msaada mkubwa kwa mwanafunzi. Sasa tuition inaweza kuwa ni historia kwa wanafunzi wa sekondari nchini. Wasema TESEApp ina kila hitaji la mwanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nchini.   Tanzana kipindi …

Soma zaidi »