Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu …
Soma zaidi »UJENZI WA MV MWANZA UNATARAJIWA KUKAMILIKA MAPEMA 2021
Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ikiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Fundi akiwa kazini Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ukiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Mafundi wakiendelea na Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Kazi hiyo …
Soma zaidi »TAEC YASISITIZA UOMBAJI VIBALI WA NJIA YA MTANDAO
Wadau na wafanyabiashara nchini wamesisitizwa kupata vibali vya vipimo vya mionzi vinavyotolewa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa njia ya mfumo wa kieletroni kila mara wanapoingiza na kusafirisha bidhaa ndani na nje ya nchi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Idara ya Ufundi na Kinga ya Mionzi wa …
Soma zaidi »TARURA YAENDELEA KUREJESHA MAWASILIANO
Ujenzi wa Kalavati Mstatili (Box culvert), katika barabara ya Bashay- Endaguday- Hydom (inayoelekea Yaedachin wanapopatikana Wahadzabe), ukiwa unaendelea baada ya mawasiliano kukatika kutokana na mvua. Erick Mwanakulya na Geofrey Kazaula – TARURA Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimballi yaliyoathiriwa na mvua nchini …
Soma zaidi »WATANZANIA WALIOKUWA WAMEKWAMA ABU DHABI WAREJEA NCHINI
Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani. Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) baada ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari …
Soma zaidi »TUMEKUBALIANA NA RAIS KENYATTA MAWAZIRI WETU WA UCHUKUZI NA WAKUU WA MIKOA KUKUTANA KUMALIZA TATIZO LA MIPAKANI – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt John Magufuli amesema kuwa Viongozi wa Mikoa wasitatue matatizo kwa jazba, na badala yake amewataka viongozi hao kukutana na kutatua changamoto iliyopo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega mkoani Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Singida. Rais …
Soma zaidi »WAZIRI MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI
James K. Mwanamyoto – Chamwino DodomaSerikali imezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Ndege za Serikali ambayo itakuwa na jukumu la kumshauri Waziri mwenye dhamana juu ya namna bora ya kuboresha wakala hiyo ili kuwa na mipango na mikakati endelevu itakayoleta tija katika usafiri wa anga. Akizindua bodi hiyo mapema …
Soma zaidi »BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amekagua ofisi mpya za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam na kuitaka Bodi hiyo kujiandaa kulipa wanafunzi wakati wowote vyuo vitakapofunguliwa. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Mei 18, …
Soma zaidi »WASAMARIA WEMA WAFANIKISHA MATIBABU YA MTOTO ALIYEZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina tunalo) ambaye alizaliwa na tatizo la moyo aliloishi nalo kwa miaka yote hiyo, ametibiwa kwa mafanikio katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto huyo aliyezaliwa pacha (wawili) alikuwa anakabiliwa na matatizo ya aina mbili ya moyo ikiwamo lile la tundu dogo kwenye …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NYONGO AWATAKA VIONGOZI WA VIJIJI KUSHIRIKI KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI KUPUNGUZA MIGOGORO
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameutaka uongozi wa Kijiji cha Buhunda maarufu kama Lushokela kilichocho wilayani Misungwi mkoani Mwanza kutoa elimu ya uwekezaji kwa wananchi wake ili kuwa na uelewa juu ya masuala ya uwekezaji katika sekta ya madini. Naibu Waziri Nyongo alitoa maelekezo hayo Aprili 12, 2020 alipotembelea …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+