Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa mbali mbali zilizopo hapa nchini.Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na Wajumbe wa Jumuiya ya Madhehebu …
Soma zaidi »KINONDONI YA ANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU WAMACHINGA
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo kwakushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, wameahidi kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo wadogo ikiwa ni katika utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. John Magufuli yakutaka kundi hilo lipewe kipaumbele katika kutimiza shughuli zao. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA MWANASHERIA MKUU
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma pamoja na Spika Job Ndugai wakiwa katika hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi IKulu Chamwino Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Makamu …
Soma zaidi »UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO
Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …
Soma zaidi »MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM
Maendeleo ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam. Rais Dkt. John Magufuli na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera wanatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi Kituo cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais wa Malawi Dkt. …
Soma zaidi »BODI YA USAJILI WA WAHANDISI WAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI YA SGR MOROGORO – MAKOTOPORA KM422
Bodi ya usajili wa Wahandisi wakikagua maendeleo ya ujenzi wa reli ya SGR sehemu ya Morogoro – Makotopora KM 422 mafundi wakiendelea na kazi moja ya handaki linalopatikana katika ujenzi wa reli
Soma zaidi »TUME YA TAIFA YA UMWANGILIAJI IMEJENGA NA KUKARABATI SKIMU 179
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya amesema sekta ya umwagiliaji imeongeza usalama wa chakula kwa kuchangia wastani wa 24 % ya mahitaji yote ya chakula nchini. Amesema hayo Morogoro wakati wa kikao cha Tume ya Taifa ya umwagiliaji na wahandisi wa umwagiliaji wa mikoa. “Tume ya Taifa ya Umwagiliaji …
Soma zaidi »UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUZALISHA AJIRA 10,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja …
Soma zaidi »TIC – MILANGO IPO WAZI KWA WAWEKEZAJI TANZANIA
Na Mwandishi Wetu, Mtwara. Katika kuhakikisha azma ya Serikali ya kuendeleza na kukuza uchumi wa Viwanda, Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC kimesema ipo haja kwa Wawekezaji kukitumia kituo hicho katika kufanikisha shughuli zao ambazo ndio chachu ya ukuaji wa uchumi huo. Kituo hicho ambacho kinaratibu, kuhamasisha na kusimamia Uwekezaji nchini sasa …
Soma zaidi »TANZANIA NI YA KWANZA AFRIKA KWA KUSAMBAZA UMEME HADI VIJIJINI – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80. “Leo hii Tanzania ni ya kwanza barani Afrika kwa kusambaza umeme kote nchini hadi vijijini na kufikisha asilimia 80. Kuna nchi ngapi barani Afrika, lakini Tanzania imefanikiwa kuwa ya …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+