RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA TUME HURU YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 20 Novemba, 2025. ๐ Usikose kufuatilia hotuba na matukio yote muhimu hapa …
Soma zaidi »WANAKEREKA NA TAMBO ZETU, LAKINI NI KWELI TANZANIA INA UMOJA, UPENDO NA AMANI.
#SisiNiTanzania #Tanzania #AmaniKwanza #UmojaNaAmani #TanzaniaMoja #PeaceForTanzania
Soma zaidi »DAMU YA WATANZANIA NI YETU SOTE
Sote ni wamoja, Majonzi ya mmoja ni ya wote. Tanzania moja, haki na umoja. Tuwe watulivu, tuendelee kujenga nchi yetu kwa amani na upendo.โ #SisiNiTanzania #Tanzania #TanzaniaYetu #AmaniKwanza #UmojaNaAmani #KijanaWaKitanzania #MabadilikoChanya #TanzaniaMoja #KaziIendelee #PatriotismTZ
Soma zaidi »JE WAJUA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU, NA HUU NDIO MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.
NEMC yaendesha mafunzo kuhusu nyenzo za usimamizi wa mazingira kwa Wizara, Taasisi, Halmashauri za Manispaa na Wilaya nchini. Mafunzo yameandaliwa kupitia Mradi wa kujenga uwezo wa kitaifa katika kusimamia Sheria ya usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004, uliofadhiliwa na SIDA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange, amefanya ziara yake ya kwanza NEMC na kuzungumza na watumishi wa Baraza hilo huku akitoa maelekezo mahsusi juu ya kuimarisha usimamizi wa mazingira nchini.
Mazingira yetu, uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
SISI TUNAWEZA
MKUTANO WA WAZIRI MKUU NA WAHIRIRI WA VYOMBO VYA HABARI PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI
Waziri Mkuu anakutana na wahiriri na waandishi wa habari kujadili maendeleo, uwazi na nafasi ya vyombo vya habari nchini. Mkutano huu unalenga kuimarisha ushirikiano kati ya serikali na wanahabari.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+