RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA TUME HURU YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 20 Novemba, 2025.

๐Ÿ“Œ Usikose kufuatilia hotuba na matukio yote muhimu hapa moja kwa moja.

๐Ÿ‘‰ Bonyeza Subscribe na notification bell ili upate matangazo mapya kila mara.

#SamiaSuluhu #Mbeya #Mbalizi #Urais #LIVE #DktSamia #CCM #Uchaguzi2025 #NEC #Tanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *