MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imekamata kilogramu 33,077.623 za dawa za kulevya aina mbalimbali huku ikiwashikilia watuhumiwa 940 kuhusika kwenye matukio tofauti ya uhalifu wa dawa za kulevya. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, akizungumuza na waandishi wa Habari leo Septemba 8,2025 jijini Dar …
Soma zaidi »DKT. SERERA AELEZA UMUHIMU WA NEMC KUSHIRIKI MAONESHO YA IATF NCHINI ALGERIA
NEMC NA ASASI ZA KIRAIA WASAFISHA FUKWE YA COCO
NEMC YAZINDUA RASMI KAMPENI YA ‘NEMC USAFI KAMPENI’
NEMC YABAINISHA USHIRIKI WAKE KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA BARANI AFRIKA (IATF) ALGERIA
🔴#LIVE: RAIS SAMIA ATINGA MBEYA MJINI KWA KISHINDO MUDA HUU, DIAMOND AKITOA BURUDANI NZITO
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Mbalizi, Mbeya, kwa kishindo kikubwa akipokelewa na umati wa wananchi waliojitokeza kumpokea. Katika hotuba yake, amewaomba wananchi waendelee kumpa imani na kura kwa ajili ya kiti cha urais. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wa Mbeya wameonesha mshikamano na furaha kubwa huku wakisifu maendeleo na …
Soma zaidi »ðŸ”´ LIVE: SAMIA SULUHU HASSAN AINGIA KWA KISHINDO MBEYA – MBALIZI
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Mbalizi, Mbeya, kwa kishindo kikubwa akipokelewa na umati wa wananchi waliojitokeza kumpokea. Katika hotuba yake, amewaomba wananchi waendelee kumpa imani na kura kwa ajili ya kiti cha urais. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wa Mbeya wameonesha mshikamano na furaha kubwa huku wakisifu maendeleo na …
Soma zaidi »ðŸ”´CCM INAZINDUA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU 2025 KAWE DAR ES SALAAM, AGOSTI 28, 2025
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mgombea Urais wa Tanzania kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi kampeni za CCM kupitia tiketi ya chama hicho leo tarehe 28 Agosti 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe – Dar es Salaam. Katika uzinduzi huu, …
Soma zaidi »DKT. SAMIA AANZA RASMI SAFARI YA UCHAGUZI – ACHUKUA FOMU NEC KWA USHINDI WA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechukua rasmi fomu ya uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi, kuashiria mwanzo wa safari ya uchaguzi kwa chama tawala. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, wafuasi, na wananchi …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, leo 24 Agosti, 2025.
Soma zaidi »