Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri ni cha mwisho cha Serikali ya Awamu ya Sita kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025
MatokeoChanya
July 14, 2025
CCM, JIJI LA DODOMA, Makamu wa Rais, Matokeo ChanyA+, Naibu Waziri Mkuu, OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu
316 Imeonekana