“Wachimbaji wadogo wanafanya shughuli za uchimbaji kwa kubahatisha na matokeo yake wanatumia muda mwingi na nguvu kubwa na kuambulia kidogo tu kwa hiyo Wizara ya madini inabidi iongeze wigo katika namna bora ya uchimbaji wa madini.” Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma zaidi »SISI NDIO WAJENZI WA TANZANIA YETU!
“Uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo”
Makamu wa Rais ametoa maagizo wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Mazingira lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam. Amesema uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo huku uharibifu wa misitu ukiendelea kuwa changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya …
Soma zaidi »MATUKIO KATIKA PICHA KATIKA KONGAMANO LA WADAU WA MAZINGIRA 31 MEI 2024 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTER (JNICC) MGENI RASMI MHE DKT PHILIP ISDOR MPANGO MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024.
Soma zaidi »Je, mikakati hii ya uongozi wa Dkt. Mpango inaweza kuwa dira ya mafanikio ya maendeleo ya taifa letu?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ameonyesha falsafa ya uongozi inayojikita katika maadili, utendaji wenye tija, na maendeleo ya taifa. Maadili na Uwajibikaji: Dkt. Philip Mpango anasisitiza maadili na uwajibikaji katika uongozi wake. Anaamini katika uadilifu, uwazi, na kufuata misingi ya utawala bora katika …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Doris Mollel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel kuhusu vifaa vya kutunza watoto njiti wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda mbalimbali kwenye Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+