Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

MUHKTASARI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 PROF KITILA MKUMBO

Muhtasari wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni nyaraka ya kimkakati inayolenga kuelekeza juhudi za maendeleo ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 25 ijayo, hadi mwaka 2050. Dira hii imeandaliwa kwa kuzingatia muktadha wa ndani na wa kimataifa, mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, kisiasa, …

Soma zaidi »

VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA

Katika kilele cha Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika …

Soma zaidi »

“Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetusaidia kujikwamua kiuchumi sisi kama Foundation for Disabilities Hope kwa kipekee kabisa tunakuomba Mheshimiwa Waziri Mkuu uwakabidhi tuzo tuliyoandalia Shirika kama alama ya shukrani kwetu”

Maiko Salali, Mwenyekiti wa Foundation for Disabilities Hope (FDH)

Soma zaidi »

TAMASHA LA VIJANA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA LAFANA JIJINI DODOMA

Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amekutana na Watendaji wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo, Meneja mahusiano Benki na Serikali waliofika kujitambulisha na kutambulisha Wizarani bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo

Soma zaidi »

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema, jukumu la kuiokoa Jamii na ukatili wa kijiinsia ni la kila mmoja hivyo ameiasa Jamii kushirikiana katika kupambana na vitendo hivyo. Dkt. Jingu ameyasema hayo jijini Dodoma Aprili 23, 2025 wakati akiongoza kikao cha …

Soma zaidi »