KILIMO

MIAKA 10 YA MAGEUZI NA MAFANIKIO MAKUBWA YA KILIMO TANZANIA

Kwa miaka kumi, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imekuwa nguzo ya mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo. Kupitia mikopo nafuu, uwezeshaji wa teknolojia za kisasa na ufadhili wa miradi ya kimkakati, TADB imewafikia mamilioni ya wakulima, kuongeza tija, kuboresha usalama wa chakula, na kuchochea uchumi wa taifa. Tazama …

Soma zaidi »

DCEA YATUMIA NANENANE KUTOA ELIMU KWA JAMII NA KUHAMASISHA KILIMO CHA MAZAO MBADALA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeshiriki katika Maonesho ya Nanenane kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na kuwahamasisha kushiriki katika shughuli halali za uzalishaji mali, hususan kilimo, ufugaji na uvuvi. Kamishina Jenerali wa DCEA, Aretas …

Soma zaidi »

KUNA JAMBO LA KUJIVUNIA TANZANIA UKIFIKA KATIKA MAONESHO YA KILIMO NANE NANE NZUGUNI DODOMA

Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na malisho kwa kutumia ardhi, mbolea, maji, nguvu kazi, teknolojia na maarifa. Kilimo pia hujumuisha ufugaji wa wanyama, uvuvi, na shughuli nyingine za kuongeza thamani kama usindikaji wa mazao na uhifadhi. #mazingira #samiasuluhuhassan😍❤🇹🇿 #VPO #sisinitanzania #ikulumawasiliano #nemctanzania @nemctanzania

Soma zaidi »

Sauti ya Mkulima Inasikika Nanenane – Kilimo siyo Hadithi Tena

Kauli “Sauti ya Mkulima Inasikika Nanenane – Kilimo Siyo Hadithi Tena” ni mwito na ushahidi wa mabadiliko chanya yanayotokana na uwekezaji katika maarifa, miundombinu, teknolojia na ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi na wakulima. Nanenane si tukio la maonyesho tu – ni daraja kati ya mkulima wa jana na shujaa …

Soma zaidi »