JIJI LA DODOMA

Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akikagua barabara Dodoma

Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

🅻🅸🆅🅴 RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

Barabara ya Mzunguko ya Dodoma kuitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina

Katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika utekelezaji wa miradi hiyo na katika kuchangia maendeleo ya miundombinu nchini Tanzania, Rais Dkt. Samia ameridhia pendekezo la Wizara ya Ujenzi la kuipa jina barabara hiyo ya mzunguko wa nje wa Dodoma la “Barabara ya Dkt. Akinwumi …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

MASWALI NA MAJIBU KATI YA WAANDISHI WA HABARI NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

Tazama kwa kina Maswali na Majibu kati ya Waandishi wa Habari na Waziri wa Katiba na Sheria – tukio la moja kwa moja linalogusa masuala nyeti ya haki, sheria, usuluhishi wa migogoro, na utekelezaji wa haki kwa wananchi. Fahamu msimamo wa serikali juu ya maboresho ya mfumo wa sheria nchini. …

Soma zaidi »

MKUTANO WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA.

Mkutano maalum kati ya Waziri wa Katiba na Sheria na Waandishi wa Habari umefanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kujibu hoja, kuelimisha umma na kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika maboresho ya sheria na upatikanaji wa haki kwa wananchi. Usikose kufuatilia majibu ya Waziri kuhusu masuala ya usuluhishi (ADR), msaada wa …

Soma zaidi »