RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI AKIWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili nchini Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Pamoja na masuala mengine, Rais Museveni atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na baadaye kuzungumza na vyombo vya habari. ___ #KaziNaUtuTunasongaMbele #DiplomasiaYaKiuchumi

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *