Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi, anatoa mtazamo tofauti kuhusu changamoto za taifa. Anasisitiza kuwa hoja si kuandika Katiba mpya tu, bali ni kuongozwa na mitazamo sahihi ya kiuongozi, maadili, na uzalendo.
▶️ Sikiliza kauli hii yenye kutikisa fikra za kawaida.
🔔 Subscribe ili kupata maoni ya ujenzi wa Taifa letu.
#TLS #KatibaMpya #Mwabukusi #UongoziBora #MitazamoSahihi #Maadili
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+