Katika kilele cha Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amefanya ziara maalum kwenye Banda la Katiba na Sheria na kusikiliza moja kwa moja malalamiko na migogoro ya wananchi.
Tazama jinsi Dkt. Ndumbaro alivyosimamia haki, akatoa ushauri wa kisheria papo kwa hapo na kuonyesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote.
📍 Tukio hili limejiri ndani ya viwanja vya Sabasaba, Dar es Salaam
🎯 Migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa, kazi na mingineyo yatajwa
👨🏽⚖️ Ushuhuda wa wananchi waliopata msaada wa haraka na wa kitaalamu
Usikose kutazama video hii yenye mvuto wa kipekee. Bonyeza play ujionee mwenyewe utendaji wa kazi wenye tija kutoka kwa Dkt. Ndumbaro!
#Sabasaba2025 #KatibaNaSheria #NdumbaroLive #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #MaonyeshoYaSabasaba #WizaraYaKatibaNaSheria
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+