Utekelezaji na Uendelezaji wa Jiji la Kilimo Mkulazi – Morogoro

Katika hatua nzuri ya utekelezaji, eneo la uwekezaji la Jiji la Kilimo Mkulazi linaendelea kuandaliwa. Kampuni za Longping na Eagle Hills tayari zimekamilisha usafishaji wa mashamba na zinatarajia kuanza upandaji hivi karibuni.

Jiji la Kilimo Mkulazi linatarajiwa kuleta manufaa yafuatayo:

Mtaji wa Uwekezaji: Milioni 576 USD

Uzalishaji wa Sukari: Tani 150,000

Uzalishaji wa Nafaka: Tani 90,000

Ajira: Zaidi ya 20,000

Utekelezaji huu utaongeza uzalishaji wa kilimo na kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi katika eneo hili.

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *