Rais Samia Aongoza Safari ya Kihistoria kwa Treni ya SGR, Akionesha Mafanikio ya Miradi ya Kimkakati

Mnamo tarehe 23 Novemba, 2024, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alifanya safari kwa Treni ya Kisasa ya SGR kutoka Jijini Dar es Salaam hadi Stesheni ya Jakaya Kikwete mkoani Morogoro.

Tukio hili linaakisi mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayolenga kuboresha sekta ya uchukuzi nchini.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *